NairobiLiving.com - with the Web Bandit
 
:: Home
:: Categories
:: Links
:: About Us
:: Contact Us
 

 

x
       
 

:: Mchongoano 101

:: Ati TV yenu ni small mpaka iko na scrollbars.

:: Hao yenyu ni ndogo, ukiingia, umetoka.

:: Wewe mweusi mpaka ukirushiwa mawe, mawe inarudi kuitisha torch

:: Wewe mgondi mpaka ukishikilia ten bob Moi anabaki na vest peke yake

:: Budako ni fala alienda airport akauliza kama kuna ndege pick-up

:: Budako fala alipaint aerial ya TV yenu ndiyo ireceive color

:: Wewe ni bowlegged na manzi wako ni knock-kneed, mukisimama pamoja muna spell 'OX'

:: Paka wenu ni mnoma mpaka aki shika panya inaitisha chumvi

:: Nyinyi ni mababi mpaka mnapikanga chapo na Robb ndio zikue chapo menthol

:: Wewe ni mblack mpaka ukikutana na mzungu morning anakushow 'good evening?''.

:: Ngombe yenu ni mzee mpaka inatoanga yogurt.

:: Nyinyi kwenu mumesota mpaka mna-kunywanga chai kwa kifuniko ya Bic.

:: Budako ni fala, alienda kubuy ngombe akaona ikikojoa akasema, sitaki hiyo, imetoboka.

:: Nyanyako mzee mpaka chawa za nywele yake hutembea na bakora.

:: TV yenyu ndogo mpako mukiwatch 100m athletics munalizia kuiona kwa ma neighbours.

:: Doggy yenu noma, inabark ikitweng 'werf!! werf!!''

:: Budako mrefu mpaka anauza mahindi kwa watu kwa plane

:: ati wewe mweusi mpaka unaacha fingerprints zako kwa makaa

:: ati mathako mnono akivaa nguo ya yellow watu hufikiria ni taxi

:: we ni mweusi mpaka mabeste wakikupita wanasema"haiya cheki shortcut!"

:: Brother yako ako na skin tight mpaka aki-wink mguu moja inainuka

:: Nyi muko wengi hadi mukipigwa family photo wengine wanahang kwa frame

:: ati wewe ni mweusi mpaka badala ya wasee kukuita wao huimba ile advert ya kiwi" hebu jitokeze , jionyeshe simama mbele ya watu..."

From Lorraine. Good stuff.

<< Back Home  | All Categories  | Talk to Nairobiliving.com! >>